Startseite > Begriffe > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
Zu "Mein Glossar" hinzufügen

Was möchtest du sagen?

Du musst dich anmelden, um an Diskussionen teilzunehmen.

Begriffe aus den Nachrichten

Ausgewählte Begriffe

ongaka yusuf walela
  • 0

    Begriffe

  • 1

    Glossare

  • 0

    Beobachter

Branche/Gebiet Sprache Kategorie Grammatik

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"

Benutzer

Glossare mit Abbildungen

Serbian Mythological Beings

Kategorie: Andere    1 20 Begriffe

Tattoo Styles

Kategorie: Arts   2 11 Begriffe